SIRI YA 8 YA MAFANIKIO; Amini Kila Kinachotokea Ni Kwa Sababu Muhimu.

By | February 6, 2015
Jifunze kuangalia jambo jema kwenye kila tatizo unalokutana nalo. Kuna mambo mazuri sana unayoweza kujifunza kwenye kila changamoto. Changamoto zipo ili kutupunguza mwendo na tuweze kujifunza mambo muhimu ya kutusaidia kufikia ndoto zetu. “I always turn every disaster into an opportunity.”  – John Rockefeller Washirikishe Wengine:FacebookTwitterLinkedInMoreWhatsAppTelegram Related

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In