UKURASA WA 37; Sababu Ya Wewe Kutenda Wema…

By | February 6, 2015
Usitende wema kwa sababu dini inakuambia ufanye hivyo, ukitumia kigezo cha dini, kuna mazingira yanaweza kukupa nafasi ya kutokutenda wema. Usitende wema kwa sababu unataka watu wakuone, ukitumia sababu hii utafanya mambo mabaya ukiwa kwenye kificho. Usitende wema kwa sababu unayemtendea ni mtu unayemheshimu au kumuonea aibu, ukitumia sababu hii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In