UKURASA WA 38; Uaminifu, Kitu Muhimu Kitakachokuwezesha Kupata Unachotaka.

By | February 7, 2015
Kwa mfano akaja mtu kwako akakuambia ana shida na anahutaji tsh laki moja ili akafanye mambo yake muhimu na atakurejeshea. Mtu huyu humfahamu kabisa, je utatoa fedha hiyo na kumpatia? Vipi akaja mtu mwingine ambaye ulishasikia habari zake kwamba akipewa fedha anarudisha. Au huenda ulishampa fedha kipindi cha nyuma na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In