SIRI YA 13 YA MAFANIKIO; Fanya Kazi Na Wengine Ili Kila Mmoja Anufaike.

By | February 8, 2015
Kujenga mahusiano mazuri na watu ni jambo muhimu sana kufikia mafanikio yako. Hii ni kwa sababu mafanikio yako yanategemea sana mchango wa watu wengine. Unaweza kufanikisha mengi ukiwa na wengine kuliko unavyoweza ukiwa mwenyewe. Jua ni jinsi gani wengine wanaweza kunufaika na wewe na hii itawafanya waweze kushirikiana na wewe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In