SIRI YA 14 YA MAFANIKIO; Tengeneza Ujasiri Wa Kufanikiwa.

By | February 8, 2015
Ujasiri unamaanisha kuwa mkubwa kuliko matatizo yako. Ujasiri sio kutokuwepo kwa woga. Ni kuweza kutenda licha ya kuwa na hofu. Kufanikiwa kwenye maisha unahitaji ujasiri wa aina mbili; 1. Ujasiri wa kuanza kuchukua hatua na kutenda. Ujasiri huu unatokana na kujiamini wewe mwenyewe. 2. Ujasiri wa kuendelea kutenda. Ujasiri huu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In