UKURASA WA 41; Usisubiri Ukamilifu…

By | February 10, 2015
Moja ya kitu kinachowazuia wengi kufikia mafanikio ni kutaka UKAMILIFU. Wanataka kuwa wakamilifu kwa kile wanachofanya. Wanataka kila kitu kiwe tayari kabla ya kuanza. Na wanataka wanachofanya kiwe kwa ukamilifu. Lakini kwa bahati mbaya sana hakuna aliye mkamilifu. Hakuna wakati ambapo kila kitu kitakuwa tayari kwa ajili ya wewe kuanza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In