UKURASA WA 42; Usitafute Sababu, Chukua Hatua…

By | February 11, 2015
Katika jambo moja ambalo tunaweza kukubaliana wote ni kwamba kwa chochote unachofanya ni lazima utakutana na changamoto. Kama tulivyowahi kujifunza, kitu pekee ambacho tuna uhakika nacho ni kutokuwa na uhakika. Unapanga vizuri jinsi biashara yako itakuletea faida, unaishia kupata hasara. Unapanga vizuri jinsi utafanya kilimo chako na upate mazao mazuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In