MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
NENO LA LEO; Faida Tatu Za Kazi…
“Work spares us from three evils: boredom, vice, and need”. Voltaire Kazi inatuepusha na mambo matatu mabaya; kuchoka kwa kutofanya lolote, maovu na mahitaji. Unaweza kuona kama kazi ni kitu kibaya sana ambacho kinakutesa. Na wakati mwingine kutamani kwamba hata kazi zisingekuwepo. Ila jiulize kama usingekuwa na kazi, usingechoka tu