UKURASA WA 47; Kuwa Na Subira, Hakuna Unachopoteza.

By | February 16, 2015
Wenye busara walisema; haraka haraka haina baraka. Hawakuishia hapo, waksema tena, pole pole ndio mwendo. Lakini dunia ya sasa inatufanya tuone tuna busara zaidi, kwamba hatuna muda wa kusubiri, nataka hiki na nakitaka sasa hivi. Huku ni kujidanganya. Kwa sababu mwaka huu 2015 umeamua kubadili maisha yako haimaanishi utaanza kuona

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In