UKURASA WA 52; Epuka Miluzi Mingine…

By | February 21, 2015
Waswahili wanasema miluzi mingi humpoteza mbwa. Hii sio kweli kwambwa tu, ni kweli hata kwa sisi binadamu. Kelele nyingi zitakupoteza, achana nazo. Dunia ina kelele nyingi sana, ambazo unaweza kutamani kuzifuatilia, kujua zaidi kuhusu kelele hizo. Ila huu wote ni upotevu wa muda, kelele hizi hazina msaada wowote kwa wewe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In