UKURASA WA 55; Usikubali Kirahisi…

By | February 24, 2015
Maisha yako hivi, unaweza kuwa unahitaji kitu fulani na ili kupata kitu hiko inabidi umwombe mtu mwingine. Unapoendakumwomba mtu huyo anakupa jibu rahisi, HAPANA, HAIWEZEKANI. Wewe unachofanya ni nini? Unakubali, unarudi nyuma na kuwa shahidi mzuri, kwamba ulijaribu sana, lakini haikuwezekana, uliambiwa hapana, uliambiwa haiwezekani. Hapo ndio unapokosea, unakubali kirahisi,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In