NENO LA LEO; Maana Halisi Ya Wivu…

By | February 24, 2015
Envy is the art of counting the other fellow’s blessings instead of your own.” – Harold Coffin Wivu ni sanaa ya kuhesabu baraka za wengine badala ya kuhesabu baraka zako. Epuka kuwa na wivu, hauwezi kukusaidia bali unakurudisha nyuma. Wivu unakufanya ujilinganishe na wengine na hatimaye uone wewe huwezi. Wivu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In