UKURASA WA 57; Dunia Haina Usawa…

By | February 26, 2015
Kuna wakati ambao utafanya kila unachotakiwa kufanya na kusubiri upate matokeo uliyotegemea kupata ila huyapati. Unafanya kila kilicho ndani ya uwezo wako, unakazana sana kuhakikisha mambo yote yanakwenda sawa ila mwisho wa siku hupati kile ulichotarajia kupata. Unapata kilicho tofauti kabisa, au hupati kabisa, au unaishia kupoteza kabisa. SOMA; Mwalimu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In