SIRI YA 34 YA MAFANIKIO; Unakuwa Kile Unachofikiria.

By | February 27, 2015
Unapata kile unachofikiri unastahili kupata kwa sababu wengine wanakuona wewe kama unavyojiona mwenyewe. Kama unafikiria wewe ni wa chini, utafanya hivyo hivyo na watu watakuchukulia wewe ni wa chini. Jinsi unavyofikiri kunaamua jinsi unavyotenda na jinsi unavyotenda kutaamua wengine wakuchukulieje. Jinsi unavyojiheshimu mwenyewe ndivyo na wengine watakavyokuheshimu.   “Change your

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In