UKURASA WA 58; Usikubali Kubeba Matatizo Ya Mtu.

By | February 27, 2015
Unaruhusiwa kumsaidia mtu, na tunahitaji sana kusaidiana ili tuweze kufikia mafanikio. Lakini kama njia yako ya kumsaidia mtu ni kuyabeba matatizo yake basi unajiandaa kushindwa. Kuna watu wengi sana ambao unahitaji kuwasaidia kiasi kwamba ukitaka kubeba matatizo yao yote maisha yako yatakuwa hovyo sana. Unapomsaidia mtu, hakikisha maisha yako wewe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In