MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Nikiwa Mkubwa Nataka Kuwa Muosha Magari.
Katika pita pita zangu kwenye mtandao nimekutana na habari moja ambayo Mh January Makamba alishirikisha watu. Alikutana na watoto wa mtaani, mmoja anasoma mwingine hasomi. Alimuuliza yule asiyesoma akiwa mkubwa anataka kuwa nani, yeye akajibu anataka kuwa muosha magari. Habari nzima ni ya kusikitisha, kwa sababu watoto hawa wana maisha