TAFAKARI; Unachagua Upande Upi?

By | March 3, 2015
Maisha ni kuchagua, ndio unalijua hili. Kuna wakati ambao unachagua ukijua, na kuna wakati ambao hujui kma umechagua ila unakuwa umeshachaguliwa. Maisha yana pande pili katika kila jambo. Kuna kuishi, kuna kufa. Kuna kuwa na afya, kuna kuumwa. Kuna kupata faida, kuna kupata hasara. Na pia kuna kufanikiwa na kunakushindwa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In