NENO LA LEO; Ushauri Bora Unaoweza Kutoa Kwa Rafiki Yako.

By | March 4, 2015
“In giving advice, seek to help, not please, your friend.” – Solon Katika kutoa ushauri, toa ushauri utakaosaidia na sio ushauri utakaomridhisha rafiki yako. Hii ni changamoto kubwa sana hasa pale rafiki yako anapokosea. Mara nyingi utaogopa kumwambia kwa sababu unafikiria anakuchukuliaje. Au rafiki anakuomba ushauri na kwa maelezo yake

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In