UKURASA WA 62; Sifia Kilicho Kizuri Na Utaona Vilivyo Vizuri Zaidi.

By | March 3, 2015
Kile unachosifia kinakua zaidi. Kile unachokazana kuangalia ndio utazidi kukiona zaidi na zaidi. Hii ina maana gani basi. Kama utaona maisha ni magumu, na kukazana kuangalia ugumu wa maisha yataenelea kuwa magumu kila siku. Kama utaona maisha ni mazuri ila yana changamoto za hapa na pale ambazo zinayafanya yawe mazuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In