MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
SIRI YA 42 YA MAFANIKIO; Mtazamo Wako Utapima Mafanikio Yako.
Tafiti za watu waliofanikiwa zinaonesha kwamba mtazamo unachangia asilimian80 ya mafanikio na asilimia 20 ndio inacangiwa na vitu vingine kama juhudi na maarifa. Mtazamo maana yake nini? Maana yake ni kufikiri kama mshindi. Kutegemea kushinda. Kuwa tayari kulipa gharama ya mafanikio. Kuamua ni lazima ufikie mafanikio. Kuamini unaweza kufanikiwa. Kuwa