UKURASA WA 67; Kama Huwezi Kufanya Miaka 50 Acha..

By | March 8, 2015
Jambo lolote ambalo unafanya au unataka kufanya hakikisha utakuwa tayari kulifa kwa miaka hamsini ijayo. Yaani upo tayari kufanya jambo hilo bila ya kuchoka au kukata tamaa kwa miaka hiyo hamsini. Kwa nini miaka hamsini? Kwanza mafanikio hayatatokea haraka kama ambavyo wengi wanakudanganya au utakavyofikiria. Mafanikio yatakuchukua muda mrefu kidogo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In