SIRI YA 47 YA MAFANIKIO; Jiandae Ili Kushinda.

By | March 12, 2015
Angalia lengho lako lakini wekeza muda mwingi kwenye kujiandaa kwa kile unachotakiwa kufanya ili kufikia lengo lako. Kushinda ni zao la maandalizi mazuri na juhudi. Wekeza kwenye kujiandaa na kuweka juhudi na mafanikio yatakuja yenyewe. “Failing to prepare is preparing to fail.”  – Unknown Washirikishe Wengine:FacebookTwitterLinkedInMoreWhatsAppTelegram Related

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In