UKURASA WA 71; Angalia Nyuma Kwa Lengo Moja Tu…

By | March 12, 2015
Mpaka uje kufikia kile unachotaka kwenye maisha yako, utafanya makosa mengi sana. Kuna mambo mengi utakayofanya na kukosea, na kushindwa. Ili ufanikiwe unahitaji kurudia tena na tena na tena. SOMA; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutumia Saa Hili moja Kufikia Mafanikio Makubwa. Lakini pia ni rahisi sana kuangalia nyuma, kuona makosa uliyofanya.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In