UKURASA WA 77; Kama Watu Hawakupingi Unakosea Sana.

By | March 18, 2015
Kwenye kazi au biashara unayofanya, au hata maisha unayoishi kuna kipimo rahisi sana cha kuweza kujua kama unachofanya ni cha tofauti au ni cha kawaida. Kipimo hiko ni muitikio wa watu kwa kile unachokifanya. Kama kila mtu anakubaliana na wewe kwa kile unachofanya na jinsi unavyofanya basi utakuwa unafanya makosa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In