Mambo muhimu ya kufanya pale mauzo yanaposhuka.

By | March 23, 2015
Wewe kama mjasiriamali kipato chako kinategemea mauzo ya bidhaa au huduma unayotoa. Hii ni sawa na kusema kwmaba kama huuzi basi huna biashara na kama huna biashara maana yake upo kwenye hali mbaya sana kifedha. Vile vile katika ujasiriamali, kipato hakilingani siku zote, kuna wakati ambao utakuwa na kipato kikubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In