UKURASA WA 85; Jipe Miadi.

By | March 26, 2015
Kwa mfano ukataka kuonana na mimi ili tuzungumze jambo lolote, tutawekeana miadi. Kwamba siku fulani na muda fulani tutakuwa pamoja tukizungumzia jambo fulani. Na tunapokutana hatutegemei kuwa na usumbufu mwingine wowote, ni mimi na wewe. Nikikupigia simu sasa hivi, utaacha jambo lolote ambalo unafanya na kujibu simu hiyo, hata kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In