UKURASA WA 90; Kila Sehemu Utakayokwenda Utawakuta Watu Hawa.

By | March 31, 2015
Mtu mmoja alikuwa amechoshwa na watu kwenye mji aliokuwa anaishi. Kutokana na kuchoshwa huku aliona sulhisho pekee ni kuhama mji ule maana watu wale walifanya maisha yake kuwa magumu sana. Alichagua mji mmoja wa kwenda na kabla ya kuhamia mji ule alitaka kuchunguza kwanza watu wa mji ule wana tabia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In