Salamu Za Sikukuu Kutoka AMKA CONSULTANTS Na Mambo Muhimu Kwako Kuzingatia.

By | April 5, 2015
Leo ni sikukuu ya pasaka ambapo wakristo wote duniani wanaadhimisha mateso na kufufuka kwa mwokozi wao Yesu Kristo. Vile vile leo ni siku ya mapumziko kwa Watanzania wote. Kampuni ya AMKA CONSULTANTS ambayo ndio inasimamia mitandao hii AMKA MTANZANIA, KISIMA CHA MAARIFA, MAKIRITA AMANI NA JIONGEZE UFAHAMU inachukua nafasi hii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In