UKURASA WA 107; Sema HAPANA, Hapa Ndio Uhuru Wako Ulipo.

By | April 17, 2015
HAPANA ndio neno gumu kusema kuliko maneno mengine yote. Hasa kwa watu ambao ni wa karibu au kwa vitu ambavyo unavipenda. Lakini neno hili HAPANA ndio limebeba uhuru wako. Yaani uhuru wako upo ndani ya uwezo wako wa kusema hapana. Kwa nini HAPANA ni muhimu? Tunaishi kwenye dunia ambayo ina

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In