UKURASA WA 109; Ni Lipi Dhumuni Lako Kwenye Maisha? Langu Ni Hili Hapa.

By | April 19, 2015
Licha ya kuwa na malengo na mipango bado maisha yako yanahitaji kuwa na dhumuni. Dhumuni hili ni kile ambacho unataka maisha yako yawakilishe hapa duniani. Hivi ni vile ambavyo unataka maisha yako yawe kuhusiana na kile unachofanya. Dhumuni lako kwenye maisha ndio litakaloendelea kukumbukwa hata pale utakapokuwa umeondoka kwenye dunia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In