UKURASA WA 111; Kama NINGE….

By | April 21, 2015
Kama NINGEanza biashara kipindi kile nilipokuwa na kazi na nguvu bado, leo maisha yangu yangekuwa bora sana…. Kama NINGEchagua kuishi maisha ninayotaka kuishi mimi na sio maisha ya kuiga, leo hii nisingejikuta kwenye matatizo makubwa…. Kama NINGEpata muda wa kutosha wa kukaa na wale ninaowapenda, maisha yangu yangekuwa na furaha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In