BIASHARA LEO; Mlazimishe Farasi Kwenda Mtoni Na Mlazimishe Kunywa Maji.

By | May 6, 2015
Wahenga walisema kwamba unaweza kumlazimisha farasi kwenda mtoni lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji. Kwa upande wa biashara, kauli hii sio kweli hata kidogo. Kwenye biashara unaweza kumlazimisha farasi kwenda mtoni na pia ukamlazimisha kunywa maji. Na wala hutumii nguvu kubwa sana, yaani ukishamfikisha karibu na maji tu yeye mwenyewe akayakimbilia.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In