UKURASA WA 131; Njia Rahisi Ya Wewe Kuondokana Na Tabia Usiyoipenda.

By | May 11, 2015
Watu wengi sana huwa wanaweka malengo ya kubadili maisha yao lakini wanashindwa kufikia malengo hayo. Na ili mtu uweze kubadili maisha yako unahitaji kuanza na kubadili tabia zako kwanza. Kubadili tabia kumekuwa ni kugumu sana na ndio maana watu wengi hujikuta pale pale walipokuwa miaka mingi iliyopita. Sikiliza hivyo ulivyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In