BIASHARA LEO; Njia Kumi Rahisi Za Kufukuza Wateja…

By | May 11, 2015
Mara nyingi huwa tunafanya mambo kwa mazoea. Na kutokana na mazoea hayo tunasahau kwamba matokeo ya kile tunachofanya yanaweza kuwa mabaya sana kwenye biashara zetu. Kuna njia uliyozoea kufanya biashara yako ambapo kwa njia hiyo unafukuza wateja wengi zaidi ya wale ambao unawakaribisha. Na hii imekuwa inaumiza biashara yako kidogo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In