UKURASA WA 132; Kumbuka Sio Lazima Ufanye Kitu Hiki…

By | May 12, 2015
Binadamu ni viumbe wa kijamii, tunasukumwa sana kwenda kama jamii inavyokwenda. Hali hii tumeirithi kutoka kwa mababu wa mababu zetu ambao nao walikuwa mababu wa mababu zetu. Zamani ililazimika kila mtu kufanya kile ambacho kimekubalika kufanywa na jamii nzima. Hii ni kwa sababu mazingira yalikuwa hatarishi sana. Kwa mfano kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In