UKURASA WA 148; Mambo Kumi(10) Unayotakiwa Kubadili Leo Ili Kufikia Mafanikio Makubwa.

By | May 28, 2015
Kuna picha moja ya katuni ambapo kiongozi amesimama jukwaani na anawauliza wananchi, wangapi wanataka mabadiliko? Wote wananyoosha mikoni. Anauliza swali la pili wangapi wanataka kubadilika? Hakuna hata mmoja ananyoosha mkono. Hivi ndivyo maisha ya watu wengi yalivyo, kila mtu anataka mabadiliko, anataka maisha yake yawe bora, anataka kuwa na kazi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In