UKURASA WA 154; Jinsi Ya Kuwinda Fedha Zako Mwenyewe Ili Kufikia Uhuru Wa Kifedha.

By | June 3, 2015
Kwenye makala ya siku mbili zilizopita tuliona kwamba kila mtu anawinda fedha zako wewe. Kila mtu anayejaribu kukushawishi ununue kitu, kila anayekushawishi utoe fedha yako anaiwinda fedha yako. Kuna watu wengi sana wanaokuzunguka ambao wanawinda fedha yako, hivyo usipokuwa makini utashangaa umefanya kazi miaka mingi ila huoni kikubwa ulichobadili kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In