UKURASA WA 155; Hii Ndio Sababu Kubwa Inayokufanya Ushindwe Kutatua Matatizo Yako.

By | June 4, 2015
Tumewahi kujadili hapa kwamba matatizo uliyonayo umeyatengeneza wewe mwenyewe. Hii inatokea kwa sababu kwa kila tatizo ulilonalo, unapojaribu kulitatua unatengeneza tatizo jingine. Kila suluhisho linakuja na tatizo jipya kabisa. Hivyo unaweza kuchagua ni matatizo ya aina gani unafanya. Kuna wakati mtu anaweza kuwa kwenye matatizo makubwa sana na akawa hajui

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In