BIASHARA LEO; Biashara Inayolipa Kuliko Hiyo Unayofanya Sasa.

By | June 4, 2015
Katika wakati wowote kwenye maisha yako ya kibiashara, kuna biashara ambayo itakuwa inalipa kuliko biashara unayofanya wewe. Katika hali hii unaweza kushawishika kwamba biashara uliyopo wewe sio nzuri na kutamani kuwepo kwenye biashara ile ambayo inalipa. Na kuna baadhi ya watu huamua hata kufanya maamuzi ya kubadili biashara na kuhamia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In