BIASHARA LEO; Usihofu Kama Watu Hawakuelewi.

By | June 6, 2015
Moja ya changamoto za kuwa mjasiriamali ni kwamba watu wengi hawatakuelewa. Kama unayafanyia kazi haya mambo ambayo unajifunza hapa kila siku, watu wengi hawawezi kukuelewa. Usiogope pale hali hii inapotokea, maana ndio umeanza kuuelewa ujasiriamali. Watu wengi hawawezi kukuelewa kwa sababu walitegemea ufanye biashara kama wanavyofanya wao. Ufungue biashara yako

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In