UKURASA WA 160; Poteza Vitu Vyote Ila Sio Hiki Kimoja Muhimu.

By | June 9, 2015
Unaweza ukapoteza vitu vyote kwenye maisha yako, ndio namaanisha vyote. Iwe ni magari, nyumba, fedha zenyewe na kila kitu cha thamani ambacho umetumia nguvu nyingi kukipaya kwenye maisha yako. Ila utaweza kuvipata vyote kama hutapoteza kitu kimoja muhimu sana. Kitu hiko utajifunza leo hapa baada ya muda mfupi. Kabla hujajifunza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In