UKURASA WA 162; Hakuna Namna Nyingine…

By | June 11, 2015
Hakuna namna nyingine, ni lazima ufanikiwe. Kuna watu ambao wameanzia chini kuliko ulikoanzia wewe lakini wameweza kufanikiwa, kwa nini na wewe usifanikiwe? Kuna watu ambao wamepata elimu ndogo kuliko uliyopata wewe, lakini wameweza kufanya mambo makubwa kwenye maisha yako, kwa nini wewe ushindwe kufanya? Kuna watu ambao walikataliwa na kutelekezwa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In