UKURASA WA 163; Unapokuwa Mpinzani Wako Mwenyewe… Na Hasara Yake Kwenye Maisha Yako.

By | June 12, 2015
Moja ya changamoto kubwa zinazowazuia watu wengi kupata kile wanachotaka, kufikia mafanikio wanayotarajia ni kuwa wapinzani wao wenyewe. Yaani wewe unakuwa mpinzani wako mwenyewe. Bado hujaelewa inakuwaje? Nitakufafanulia vizuri zaidi ili uweze kuelewa na kuchukua hatua pia. Umekuwa unajifunza mambo mazuri na yatakayobadili maisha yako na unakubali kabisa ya kwamba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In