UKURASA WA 169; Utaendelea Kuidhulumu Dunia Mpaka Lini?

By | June 18, 2015
Kila mmoja wetu ana kitu kikubwa sana ambacho kipo ndani yake, ambacho akikitoa anaweza kuleta mabadiliko makubwa sana kwa watu wengine. Lakini tatizo kubwa ni kwamba wengi wetu hatutoi vitu hivi. Na tumekuwa tunaidhulumu dunia kwa kiasi kikubwa sana. Kazi ambayo nimekuwa naifanya, ya uandishi na kufundisha, imekuwa inawasaidia watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In