UKURASA WA 168; Kama Umeshaanza Kutumia Kauli Hizi Sahau Kuhusu Mafanikio.

By | June 17, 2015
Enzi zangu mimi bwana, hela ndogo ndogo kama hizi zilikuwa hazinipigi chenga….. Enzi hizo nilikuwa msanii maarufu sana sema basi tu sasa hivi mambo yangu hayako vizuri… Enzi zangu biashara niliyokuwa nafanya ilikuwa na mafanikio makubwa sana. Sema sasa hivi tu mambo hayajakaa vizuri….. Enzi hizo kazini mimi ndio nilikuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In