UKURASA WA 170; Kinachoendelea Kukuzuia Kufikia Mafanikio Ni Hiki.

By | June 19, 2015
Kuna watu ambao wanakuwa wameanzia chini sana kwenye maisha. Wanatokea kwenye familia masikini, wanaweka juhudi nyingi sana na hatimaye wanafikia mafanikio waliyokuwa wanayatazamia. Ila baada ya kufikia mafanikio haya wanashindwa kwenda tena mbele na wanabaki palepale. Kwa kubaki palepale kwa muda mrefu wanajikuta wameachwa nyuma. Kuwa wengine wanaingia kwenye kazi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In