UKURASA WA 172; Tatizo La Kuweka Kinyongo…

By | June 21, 2015
Ni kwamba unakosa nafasi ya kufuatilia mambo mengine muhimu kwako. Unaweza kujiaminisha kwamba kinyongo ulichomwekea mtu unastahili kabisa. Alininyanyasa sana nilipokuwa mdogo… Alinitesa sana katika mapenzi/ndoa…. Alinisababishia hasara kubwa kwenye biashara yangu… Alisababisha kifo cha mtu muhimu sana kwangu…. Na sababu nyingine nyingi unazojipa kwamba kuweka kinyongo kwa mtu ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In