BIASHARA LEO; Epuka Siri Kwenye Biashara Yako, Hasa Wakati Wa Matatizo.

By | June 26, 2015
Wamiliki wengi wa biashara huwa wanapenda kuweka matatizo ya biashara zao kuwa siri yao wenyewe. Hata watu ambao wanahusika na biashara hiyo kwa karibu sana hawapati nafasi ya kujua kama biashara ipo kwenye matatizo. Watu kama wafanyakazi wa biashara hiyo wanakuwa hawajui kama biashara ipo kwenye matatizo na hivyo kuendelea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In