UKURASA WA 186; Kama Utashindwa Kufanya Chochote Utakachojifunza, Basi Fanya Hiki Kimoja Tu, Na Maisha Yako Yatagusa Wengine.

By | July 5, 2015
Nimekuwa nakushirikisha mambo mengi sana ambayo unahitaji kuyafanya ili kuboresha maisha yako. Mambo haya yanahitaji wewe ubadilike, uanze kufanya tofauti na ulivyozoea kufanya na sio kitu rahisi sana. Kuacha kuangalia tv na kujisomea mambo yatakayokuweka mbele zaidiinahitaji kujitoa kweli. Kuacha kukaa na jamaa zako kila jioni mkipata moja moto na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In