MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 193; Ushabiki Unavyokuzuia Kufikia Mafanikio.
Ushabiki umekuwa kikwazo kwa watu wengi sana kuweza kufikia mafanikio makubwa. Watu wamekuwa wakijikuta wanalazimika kuacha mambo yao ya msingi kwa sababu hataki kupitwa na kitu ambacho anashabikia. Kuna watu ambao ni mashabiki wa mpira kiasi kamba hawezi kuacha kuangalia timu yake inacheza hata kama kutakuwa na kitu gani anachofanya.